Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
21 views
VYOTE NDANI GONGA94
Baada ya Wadau kumvaa MR PIMBI kuwa aeleze ukweli je Kilichomkuta Mwanamuziki Ibraah kuambiwa Aingie
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Baada ya Wadau kumvaa MR PIMBI kuwa aeleze ukweli je Kilichomkuta Mwanamuziki Ibraah kuambiwa Aingie Chumbani kwa Harmonize ili kumfanyia Michezo michafu yeye kimemkuta ama vipi kwa Sababu Naye pia Huwa yupo karibu na Harmonize.
PIMBI amefichua kuwa Kila anapomtembelea Harmonize yeye Hajawahi Kuingia Ndani hata Siku Moja kwenye Nyumba ya Harmonize hivyo yupo Salama ?
Mr Pimbi Amesisitiza Kila anapokwenda Nyumbani kwa Boss huyo wa Kondegang huwaga anaishia Nje Wala Haingii Ndani .. kupitia ukurasa Wake wa Instagram ameweka Uthibitisho wa Picha mbali mbali akiwa kwa Harmonize kisha Kuandika ujumbe Huu
"HUWA NAISHIA NJEE NDANI SIINGIAGI,,,,NADHANI MNAONA HUWA NAISHIA NJEE SIJAWAHI KUINGIA NDANI ????????" Ameandika Mr Pimbi
#halisinewsflash #halisimediatz
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
WAMEIRUHUSU IPITE (Baada ya Kugundua hawana undugu) 1 - - - - - 5
SEHEMU YA 1 Kama utani hivi lakini kura zilipigwa usiku wa manane Nyamizi Mimi pamoja na my big brother Nico twende Jij...
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
atatambulishwa mbele ya wananchi wote wa ADELI,Nzegi alimpata tarifa zile general". "Hahahahahahahaha mda ambao nilikuw...
Baada ya Wadau kumvaa MR PIMBI kuwa aeleze ukweli je Kilichomkuta Mwanamuziki Ibraah kuambiwa Aingie
Baada ya Wadau kumvaa MR PIMBI kuwa aeleze ukweli je Kilichomkuta Mwanamuziki Ibraah kuambiwa Aingie Chumbani kwa Harmonize ili kumfanyia Michezo michafu yeye kimemkuta ama vipi kwa Sababu Naye pia Huwa yupo karibu na Harmonize.
PIMBI amefichua kuwa Kila anapomtembelea Harmonize yeye Hajawahi Kuingia Ndani hata Siku Moja kwenye Nyumba ya Harmonize hivyo yupo Salama ?
Mr Pimbi Amesisitiza Kila anapokwenda Nyumbani kwa Boss huyo wa Kondegang huwaga anaishia Nje Wala Haingii Ndani .. kupitia ukurasa Wake wa Instagram ameweka Uthibitisho wa Picha mbali mbali akiwa kwa Harmonize kisha Kuandika ujumbe Huu
"HUWA NAISHIA NJEE NDANI SIINGIAGI,,,,NADHANI MNAONA HUWA NAISHIA NJEE SIJAWAHI...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/baada-ya-wadau-kumvaa-mr-pimbi-kuwa-aeleze-ukweli-je-kilichomkuta-mwanamuziki-ibraah-kuambiwa-aingie