Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 DOCTOR BOSS ANATAKA TENA 🥰 EP 5.
Gonga94 · Stories

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA 🥰 EP 5.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nimekuja kuamshwa saa moja kasoro, nikainuka nikamshukuru, nikaanza kuondoka alibaki kaganda, kumbe hakuwa amenitizama vizuli chini nina kiuno nyigu afu likafungasha wowowo la kushtua mioyo ya wapenda mitikiso, na kupata wowowo kama langu uku ni nadra sana, yani in short ni kitu adimu, sio kubwa sana nilile la kuvutia haswaa,na leo nimevaa suruali sikuvaa gauni ndio maana limeonekana sana, gauni nilishona fupi lakini pana ni ngumu kuliona linaonekana kwa mbari...

Alijikuta ananishaangaa mpaka naishilia, ndo akajipiga kichwa, aliwaza mno kuniambia ananipenda anaogopa, ila kwa hali ilivyo akaona kabisa bora tu aseme, alitoka kunikimbilia hakunipata, akaamua kuwasha gari mpaka kwangu, alivyofika mimi sikuwa bado nimefika, akapanic akatoa simu anipigie,akaona tax inafika akaghaili, nimeshuka kwenye tax nashangaa uyu nae vipi🙄, nilisogea nikafungua nakumkalibisha japo ni chumba kimoja,aliingia akatizama mazingira akanisifia, mimi msafi na najua kupangiria nyumba, ata sikujibu chochote make nilikuwa najiuliza kafata nini hapa, niliona acha tu nipashe ata chai waafrica na ukarimu tena watanzania nikama tulizaliwa nao tu, siwezi acha mgeni akaondoka bila kupata chochote kitu, nilipika chai jamani ilikuwa chai kweli sikuchemsha nilipika, chai inanukiaaa balaaa, nilijua kutesa pua za wazungu na hii chai yangu, hakuna anaejua kuipika uku zaidi ya mimi na mama angu, ata mdogo wangu tu chauvivu hajui...

Niliandaa na tambi za nyama ya kusaga, nikaunga mtoto wa kike nikaenda kutenga na kumkaribisha Boss wangu, ata hakubisha, wala kuvunga, chai huwa napika nyingi kwa sababu mchana sipendi kupika nashindia chai tu, sasa mwamba si akanywa chai yangu yote, nikaambulia kikombe kimoja amekuja kushtuka anaongeza imeisha, akanitizama kwa aibu nikamwambia, usijali CEO, nitakuandalia nyingine inaonekana umeipenda, akasema " apana D usijichoshe, hii chai yako ata ukinipikia ndoo nzima nitamaliza yani nimeipenda sana, unaweza kunifundisha na mimi?, nikajibu ndio sio kazi naweza kukuelekeza, ata kwa mdomo tu na ukaenda kuandaa, aliomba nimtajie naweka nini, nilimtajia akaandika vyote, na maelekezo...

Alivyomaliza nilitoa vyombo, akaja ety aoshe hee nimekuria uzunguni lakini damu ya africa iko mwilini mwangu, nilimzuia akakatalia kuosha nikaona sasa hapa kazi ipo, nikamuacha mimi naosha yeye anasuuza nikamaliza nikavuta maji vyombo vyangu na yeye akawa anafanya vile vile,tumemaliza tukakaa kutizama tv apo tupo kwenye sofa moja, la watu wawili nikashangaa , CEO ananisogelea zaidi, nikageuka kumtizama kwa hamaki🙄,hakujali akasogea kisha akaleta mkononwake kiunoni kwangu, kwa hisia sana macho yake yalionesha hisia...
Kupata mwendelezo ...

Itaendelea...💥

Full 1000
Whatsp
0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA 🥰 EP 5.


Nimekuja kuamshwa saa moja kasoro, nikainuka nikamshukuru, nikaanza kuondoka alibaki kaganda, kumbe hakuwa amenitizama vizuli chini nina kiuno nyigu afu likafungasha wowowo la kushtua mioyo ya wapenda mitikiso, na kupata wowowo kama langu uku ni nadra sana, yani in short ni kitu adimu, sio kubwa sana nilile la kuvutia haswaa,na leo nimevaa suruali sikuvaa gauni ndio maana limeonekana sana, gauni nilishona fupi lakini pana ni ngumu kuliona linaonekana kwa mbari...

Alijikuta ananishaangaa mpaka naishilia, ndo akajipiga kichwa, aliwaza mno kuniambia ananipenda anaogopa, ila kwa hali ilivyo akaona kabisa bora tu aseme, alitoka kunikimbilia hakunipata, akaamua kuwasha gari mpaka kwangu, alivyofika mimi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/doctor-boss-anataka-tena-ep-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi doctor-boss-anataka-tena-ep
 DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 14.--15
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 14.--15
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 7...8
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 7...8
 DOCTOR BOSS ANATAKA TENA ❤ EP 12.
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA ❤ EP 12.
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA EP 13.
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA EP 13.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

944
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

195
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

135
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

131
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

119
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest