Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAPENZI YA KUKOMOANA  PART: 02
Gonga94 · Stories

MAPENZI YA KUKOMOANA PART: 02

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


ILIPOISHIA,

"Hee!, kwanini unafunga mlango?" Nilimuuliza kwa mshangao.

"Karibu kitandani kuna zawadi yako..." alitamka kisha akataka kunishika..ndipo..

SONGA NAYO....

Baada ya kuniambia nikaribie kitandani, nilistajabu sana kwani Dicky nilikuwa namuheshimu sana kama Rafiki yangu.

Kwa mbali nilianza kuona kama kuna dalili mbaya anataka kunifanyia ndipo kijasho chembamba kilivyoanza kunitoka kwani kiukweli nilikuwa bado sijawahi kulala na mwanaume yeyote.

Niliangaza macho yangu huku na kule kisha nikamuuliza,

"Zawadi gani ambayo haionekani mpaka kitandani"

Baada ya kuambiwa hivo, alinyanyuka kitandani hepo ndipo nilipobaki na mshangao mkubwa kwa nilichokiona.

Pensi yake kwa mbele ilivimba na kuchongoka gafla huku kwa ndani kukionekana kama kuna mpini wa kutwangia.

"Mama yangu wee!" Nilijisemea huku nikiwa bado nimesimama chumbani humo.

"Sorry samahani sogea kidogo nikwambie jambo moja la siri.." alitamka huku akishikilia pensi yake kwa mbele

"Niambie kwani mpaka nije hapo? Nilimuuliza.

"Hapana ni siri ndo maana nataka usogee kwa karibu"

"Mhh...we sema tu" niliguna huku mapigo ya moyo wangu yakinienda mbio sana.

"Baby..kiukweli nakupenda sana, nipo tayari kwa lolote hata kukausha bahari lakini unipatie penzi lako nami moyo wangu utapona. Siwezi kuishi wala kulala bila wewe, please nakuomba sana" alitamka huku akiwa anavua Vest yake na kubakia kifua wazi

"Hee! Makubwa! Hii ndo Zawadi ambayo umeniitia chumbani humu?, nakuheshimu sana kama kaka yangu please nakuomba unisamehe kwa hilo" nilimjibu kisha nikataka kufungua kitasa cha mlango ili nichomoke chumbani humo lakini ufunguo haukuwepo.

"Please nimeumia sana moyo, nimefanya kila kitu kwako nakuomba kwa leo nione hata paja lako tu ...nitaota hata mwaka mzima...niko vibaya sana.." alitamka.

"Nikuuulize kitu..?" nilitamka.

"Uliza mama"

"Kwanza una malengo gani na mimi ?" Nilimuuliza huku nikiwa nawaza kwelikweli.

"Malengo yangu ni kukufanya wewe uwe mke wa pekee katika dunia hii, mke ambaye nitakukabidhi moyo wangu, mke ambaye nitakukabidhi yongo na figo zangu, unizalie watoto waniite baba nawe wakuite mama" alitamka huku akionekana kujikuna kwenye mpini wake ambao ulionekana kuvimba kadri mda ulivyokuwa unasogea.

"Mhh...asante kwa hilo Mola akipenda itakuwa hivyo ila kwa sasa sitaki na sikotayari kuwa kwenye mahusiano na mtu yeyeyote..." nilitamka.

"Mbona ulikuwa unaniambia unanipenda baby?, please niko vibaya sana yaani siwezi kuishi kwa leo nakuomba unistiri hata dakika 5 tu" alitamka

"Hee!, dakika 5 za kufanya nini?" Nilimuuliza kwa mshangao huku nikijuta kwanini nimekuja kwake.

"Nadhani ushaelewa hapo. Kitendo cha kukuona tu mwili wangu wote umenisisimka sana kiasi kwamba nashindwa hata nisemeje...please nakuomba sana" alitamka.

"Tabia yako siyo nzuri ndo maana nilikuwa sitakagi kuja kwako, sasa ndo nini hii?, mimi kwa leo haiwezekani hata kidogo yaani haiwezekani" nilitamka kwa sauti

"Kwanini?, shida nini kipenzi?" Aliuliza kisha akataka kunikumbatia.

"Nipo kwenye siku zangu lakini pia by the way hata nisingekuwa kwenye siku zangu isingewezekana, najiheshimu sana nakujitunza sana. Sipo tayari kufanya mapenzi mpaka nitakapoolewa" nilimjibu.

"Please nakuomba nioneshe hata paja tu ..roho yangu itatulia.."alitamka huku akiwa kama anahaha mithili ya Kuku anayetaka kutaga.

Nilibaki kushangaa kwa jinsi Alivyogeuka kwani sikuwahi kumtegemea kama ni mtu wa namna hiyo.

"Naomba nifungulie mlango niondoke nitakuja siku nyingine maana kuna wageni wanakuja kunitembelea..." nilimwambia

Baada ya kumwambia hivyo, alikaa kimya mithili ya bubu huku akinisogelea.

Nilijaribu kusogea nyuma kinyumenyume lakini mwishowe nilijikuta nimejishikiza kwenye ukuta hali iliyomfanya Dicky anikumbatie kwa nguvu sana.

"Baby...baby...please ...nakupenda...." alitamka huku akianza kunishika kwenye maziwa yangu ambayo ndo kwanza yalikuwa yameanza kukua huku yakiwa yamechongoka mithili ya Yai.

Baada ya kunishika, nilisikia mshutuko mkali sana ambao sikuwahi kuupata , nilianza kuhangaika ili nijinasue mikononi mwake lakini alikuwa na nguvu ndipo nilipoamua kumtisha.

"Niache...!, niache nitakupigia kelele kuwa unanibaka...!, utafungwa miaka 30..., niache mimi" nilitamka lakini hakutaka kuniachilia huku akiingiza mkono wake ndani ya brazia yangu...

JE NINI KILIENDELEA?

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAPENZI YA KUKOMOANA PART: 02



ILIPOISHIA,

"Hee!, kwanini unafunga mlango?" Nilimuuliza kwa mshangao.

"Karibu kitandani kuna zawadi yako..." alitamka kisha akataka kunishika..ndipo..

SONGA NAYO....

Baada ya kuniambia nikaribie kitandani, nilistajabu sana kwani Dicky nilikuwa namuheshimu sana kama Rafiki yangu.

Kwa mbali nilianza kuona kama kuna dalili mbaya anataka kunifanyia ndipo kijasho chembamba kilivyoanza kunitoka kwani kiukweli nilikuwa bado sijawahi kulala na mwanaume yeyote.

Niliangaza macho yangu huku na kule kisha nikamuuliza,

"Zawadi gani ambayo haionekani mpaka kitandani"

Baada ya kuambiwa hivo, alinyanyuka kitandani hepo ndipo nilipobaki na mshangao mkubwa kwa nilichokiona.

Pensi yake kwa mbele ilivimba na kuchongoka gafla huku kwa ndani kukionekana kama kuna mpini wa kutwangia.

"Mama yangu wee!" Nilijisemea huku nikiwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ya-kukomoana-part-02

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ya-kukomoana-part
MAPENZI YA KUKOMOANA  PART: 01
MAPENZI YA KUKOMOANA PART: 01
MAPENZI YA KUKOMOANA    PART: 05
MAPENZI YA KUKOMOANA PART: 05
MAPENZI YA KUKOMOANA  PART: 03
MAPENZI YA KUKOMOANA PART: 03
MAPENZI YA  KUKOMOANA  PART: 04
MAPENZI YA KUKOMOANA PART: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68

1.24K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67

1.06K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 69

853
AFANDE MILLAN😎 70 Hadi 72

AFANDE MILLAN😎 70 Hadi 72

457
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

329
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

326
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

295
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

237
SHAMIRA 105 na 106

SHAMIRA 105 na 106

206
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

187

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.8K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.53K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.85K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.95K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.78K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA: Post Mpya
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:
@majario LIVE

1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa...

SHAMIRA 107 Hadi 109 Post Mpya
SHAMIRA 107 Hadi 109
@majario LIVE

Sehemu ya 107 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema acha na masuala ya mtoto bwana apa nipo mimi na wewe plsss mpenzi . Nikajikuta nacheka tu akanmbia daah ukicheka...

Jamie Carragher baada ya Senegal🇸🇳 kuinyang’anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco🇲🇦 kuwa mabingwa wapya:🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🎙 Post Mpya
Jamie Carragher baada ya Senegal🇸🇳 kuinyang’anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco🇲🇦 kuwa mabingwa wapya:🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🎙
@majario LIVE

“Sawa, subiri kidogo… kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, kila mtu anasherehekea halafu sasa wanaambiwa: 'Hapana, samahani, Morocco ndio washindi 3-0!' Unatania?" "Yaani, hii ndiyo...

 💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 8,9,10 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 8,9,10
@majario LIVE

O8 Unamaanisha hii simu📱ni yangu 🤔 nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru 🙏 sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie....

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 6 na 7 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

AFANDE MILLAN😎 70 Hadi 72 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 70 Hadi 72
@majario LIVE

Sehemu ya 70 Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange...

LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 69
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE😂) 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "7_8"💓😽 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "7_8"💓😽
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh 🤮...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mané, ameonyesha kusikitishwa na...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest