Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
114 views
VYOTE NDANI GONGA94
Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
KUTANA NA BIBI BISHOO
Kutana na Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi yake baada ya kukubali kuvaa mavazi ya mjukuu wake ambaye ni mbunifu na mwanamitindo.
Margret Chola anajulikana kama "Legendary Glamma" kwenye mtandao wake wa Instagram (akiwa na wafuasi zaidi ya 149k hivi sasa), anatokea maeneo ya vijijini kaskazini mwa Zambia na amekuwa gumzo kutokana na picha zake za mitindo na za kuvutia.
Bibi yako anaweza kuvaa hivi? Swipe kuona picha zaidi.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
ALIMTOA MAMA YAKE KAFARA ILI AWE TAJIRI. Elvin alikuwa kijana wa miaka 28
aliyeishi na mama yake mjane kwenye nyumba ya kupanga uswahilini. Mama yake, Mama Kelvin, alikuwa akijishughulisha na k...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi
KUTANA NA BIBI BISHOO
Kutana na Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi yake baada ya kukubali kuvaa mavazi ya mjukuu wake ambaye ni mbunifu na mwanamitindo.
Margret Chola anajulikana kama "Legendary Glamma" kwenye mtandao wake wa Instagram (akiwa na wafuasi zaidi ya 149k hivi sasa), anatokea maeneo ya vijijini kaskazini mwa Zambia na amekuwa gumzo kutokana na picha zake za mitindo na za kuvutia.
Bibi yako anaweza kuvaa hivi? Swipe kuona picha zaidi.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/margret-chola-bibi-mwenye-umri-wa-miaka-85-aliyejizolea-umaarufu-mtandaoni-kutokana-na-aina-ya-mavaz
Maoni