Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MPANGAJI 04 ๐Ÿ๐Ÿซ  ยฐยฐยฐยฐ  Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida
Gonga94 ยท Stories

MPANGAJI 04 ๐Ÿ๐Ÿซ ยฐยฐยฐยฐ Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yake, akitumia vifaa kadhaa alivyokuwa navyo, alipiga push up za kutosha na mazoezi mengine kisha akaenda bafuni na kuoga na siku hiyo aliamua kuvaa nguo za kawaida kabisa, alivaa pensi na raba kisha akavaa na kofia moja matata iliyokua na herufi chache tu โ€œCKโ€ kisha alifungua kwenye begi lake na kutoa kiasi cha pesa na kuhesabu noti kadhaa na kuzitia kwenye waleti yake halafu akatoa simu yake na kukuta missed calls mbili za Esta,
โ€œla haulaa!โ€ alijisemea sasa akivuta begi lake na kuchukua ufunguo mezani na kutokomea nje
Alimkuta Esta akiwa mlangoni na begi lake tayri kwa safari..
Mama Mwajuma nae alikuwepo kumsindikiza mwanae
Baada ya Salamu sele alichukua begi la Esta na kulivuta taratibu kutokea nje Mama Mwajuma tayari alishahisi kuna jambo linaendelea kati ya watu hawa wawili hata hivyo kwa upande mwingine alifurahi kwani pamoja na mambo mengine ya Sele, alikua ni kijana mtanashati, mwenye adabu na asiyekuwa na makuu, kuhusu anafanya kazi gani mama mwajuma hilo halikumuumiza sana kichwa isipokuwa ni namna ambavyo uhusiano huu utaishia
โ€œpotelea pote hawa ni watu wazimaโ€ aliwaza mama Mwajuma sasa wakipiga hatua kutoka nje ya nyumba, tayari wapangaji wengine waliokuwepo walishaagana na Ester na wengine tayari walikua wameshamzoea
โ€œsasa Mama wewe ishia hapa mimi nitamsindikiza Esta mpaka ubungo na kuhakikisha anapanda basi la Lindi kabisa mama!โ€ alisema Sele huku akitabasamu,
โ€œitakuwa vizuri kabisa Basi mimi niishie hapa, Sasa Esta, nikuage Mwanangu alisema mama Mwajuma huku akipunguza mwendo kidogo Sele alikuwa ameshaelewa hapa ni โ€œmausiaโ€ ndio ambayo yanafuata
โ€œMwanangu usinifiche kitu mimi ni mtu mzima, niambie una uhusiano na Sele?โ€ mama Mwajuma aliuliza huku akimtazama mwanae usoni
โ€œhapana mama, Ni tumezoeana tu yaani, hivyoo tu!โ€ alisema Esta huku akiwa kama anataka kusitisha mzungumzo
โ€œila Sele anakupenda maana hajawahi kuwa na ukaribu na mtu yoyote , sasa mpaka anafikia hatua ya kukusindikiza hadi stendi?โ€ alisema mama Mwajuma
โ€œungejua sio kunisindikiza tu, kanaipa hadi laptop!โ€ alijisemea moyoni Esta

โ€œhaya mama uwe makini huko shuleni, kaa vizuri na walimu wenzako, na mkuu wako wa shule na usisahau kuniletea mzigo wangu likizo ya mwezi wa 6โ€ alisema mama Mwajuma akimuaga mtoto wake kwa mbali alimnyooshea mkono Sele ambaye alikua sasa ameweka begi chini akimsubiri Esta ambaye alifika na kisha safari ikaanza. Hawakupiga hadithi sana kwani kila mtu alikua anawaza mambo yake kichwani, walipofika Kimara Mwisho Esta alilalamika kuwa kuna kitu aliagizwa na shoga yake amnunulie na alisahau kununua,
โ€œyaani Nikifika bila hicho kitu Shoga yangu hatanielewa kabisa yaaniโ€ alisema Esta akimweleza Sele
โ€œokay tushuke kwanza unaweza kukipata hapo nje hicho unachokitafuta halafu tukachukua bajaji tu kwenda stendi bado ni mapemaโ€ alisema Sele huku akisogea mlangoni
Walishuka pale Kimara mwisho ambapo wengine walipenda kuita darajani
Na kuvuka upande wa pili
sele alijua bila shaka ni vitu vya wanawake ambavyo shoga yake huyo alimuagiza
โ€œwanawake wana vitu vingi sana yaani!โ€ alijisemea sele huku sasa akivuta begi la Esta
Walisogea kabisa pembeni ya barabara na kuingia mtaani walikaribia sehemu kulikua na bajaji kadhaa zimepaki Esta akamwambia Sele asubiri yeye aende kuuliza hicho kitu
Alisogea pale na kabla hajafika alishadakwa na madereva kadhaa alichagua mmoja kisha wakaongea halafu baada ya muda kidogo Esta alimnyoshea mkono Sele amfuate
Sele alimfuata na kuingia kwenye bajaji ya Yule kijana
โ€œvipi tena?โ€ aliuliza Sele akiwa ameduwaa
โ€œnakumbuka wakati nakuja nilikuambia unizunguushe nione mji kwahiyo leo ni zamu yako kaa utulie mwanaume wewe na usiongee kitu!โ€ alisema Esta kwa utani
โ€œhaya langu jicho Esta, ila kwa hali safari labda kesho unapajua Lindi wewe?โ€ Sele aliongea sasa akiwa haelewi nini kinatokea
โ€œhata hapa Dar nasikia kuna sehemu inaitwa Lindiโ€ alisema Esta Sele hakua na namna isipokuwa kucheka tu walipita sehemu kadhaa na baadae wakatokea mbele ya jengo moja zuri sana โ€œLOTHA EXECUTIVE LODGE & RESTAURANTโ€ maandishi makubwa yalisomeka kwenye kibao cha jengo hilo
*************************
โ€˜pacheki sista kama hapafai nikupeleke nyingine ipo kati hapo nayo barida tu kama hii!โ€ alisema Yule kijana wa bajaji akiwa amesimama tayari kutoa mizigo
Esta alishuka kwa kujiamini huku Sele akiwa hajui kama anatakiwa kupiga kelele za shangwe au kilio ama anatakiwa kufanya nini,
Esta alifika ndani na baada ya muda alirudi
โ€œasante kaka pako vizuri bei gani vile ulisema?โ€ alisema Esta kifungua pochi yake na kutoa elfu tano
โ€œah buku mbili tu sista, kama vipi chukua minamba nini ili kama niaje niaje nini fresh tuu!โ€ alisema Yule kijana mpaka Esta alicheka
โ€œhahaha usijali, sasa namba yako nitaisave niaje niaje bajajiโ€ aliongea huku Sele sasa akishuka kwenye bajaji na mizigo
โ€œkiuhalisia nataka niende Lindi nikiwa sina deni na mtu Seleโ€
Alisema Esta huku akiwa anatangulia ndani, Sele alifuata kama kondoo aliyekuwa mafichoni walipita mapokezi na mhudumu akawapokea na kuwapeleka kwenye chumba ambacho tayari Esta alishachagua, kilikua ni chumba kizuri sana, Esta alitua mizigo yake na kuipanga vizuri sele alikaa kwenye sofa lililokuwa pale chumbani na kukunja nne huku akimkodolea macho Esta kama mtu anayesubiri kupewa muongozo
โ€œsele nikuambie kitu!โ€ alianza Esta kwa upole sana, yeye kama mwalimu alijua namna ya kuweza kueleza somo lake likaeleweka kwa mwanafunzi wake huyu aliyekuwa mbele yake
โ€œmimi nina miaka 26 sasa hivi, nina vitambulisho vyote kuanzia cha kupigia kura cha kazi hadi cha Taifaโ€ alianza Esta
โ€œunataka kusemaje?โ€ aliuliza Sele
โ€œnaona kama mwenzangu umejaa hofu kana kwamba umeingia na mwanafunzi wa form one hapa kwahiyo muda wowote utakamatwa!โ€ alisema Esta huku akicheka
โ€œHapana mwalimu mimi sijawa na hofu, ila nashangaa tu, ubungo imekuwa hii, sasa sijui hicho kitanda ndio basi au!โ€ alisema Sele kwa utani
โ€œkwahiyo huna hofu kabisa?โ€ aliuliza Esta
โ€œkwahiyo nikuogope wewe au!โ€ aliuliza Sele

Esta hakujibu alisogea mpaka kwenye meza na kupiga simu mapokezi ambapo aliagiza supu ya kuku na chapati
โ€˜ Sele safari yangu ni kesho, kwahiyo leo nimeamua rasmi nibaki na wewe hapa, kuna mambo inabidi nikuambie Sele ka aujuavyo kule nyumbani hakuna uhuru sana na tusingeweza kuongeaโ€ alisema Esta
โ€œ kwakuwa leo ni siku ndefu kwanza nikushukuru sana kwa zawadi Sele yaani nikifika pale shule nitaosha kweli!โ€ alisema Esta akiitoa ile komputa kwenye begi lake
โ€œooh usijali Estaโ€ alisema Sele
โ€œnielekeze elekeze basi ujue mimi sio mtundu sana kwenye komputaโ€ alisema Esta akienda pale kwenye Sofa alipokaa sele,
โ€œooh, wewe mwalimu tena si mmespma ICT chuoni jamani!โ€ alisema Sele
โ€œtumesoma lakini theory nyingiii!โ€ alisema
โ€œmh tuanze na niniโ€ฆโ€ sele alikatishwa na sauti ya mhudumu aliyekuwa anagonga mlango na alifungua , na mhudumu akaweka mizigo mezani,
โ€œkaribuniโ€ alisema mhudumu
โ€œtuletee maji makubwa ya Kilimanjaro na glass mbiliโ€ alisema Esta sasa akisogea pale mezani na kuanza kupiga msosiโ€ฆ
Walimaliza kula na kisha Sele akamuelekeza vitu kadhaa kwenye komputa katika hali ambayo Esta alishikwa na bumbuwazi,
โ€œsele mbona unaijua komputa hivi? Na wakati huo umesema hutumii kabisa mitandao ya kijamii?โ€ aliuliza esta akiwa ameduwaa
โ€œah kumbe nilikua sijakuambia kazi yangu hadi leo! Hahaha alisema Sele akichekaโ€
โ€œMimi ni IT nimejiajiri binafsi, kazi yangu ni kufunga mifumo mbali mbali katika ofisi, majengo ya watu binafsi n. kama vile kuweka software za cctv camera, ama za ulinzi n.k, mwakani inshallah Mungu akipenda nitakuwa na ofisi yangu rasmi sasa hivi nafanya deiwaka tu na kampuni moja hivi inaitwa TAAโ€ alisema Sele huku akiwa ametulia kabisa
โ€œwaooh kumbe, niko na IT hapa, kwahiyo kumbe ninyi ndio mnahack akaunti za watu insta, eeh?โ€ aliuliza Esta kwa utani na sasa muda wa kubadili mada uliwadia โ€˜leo afe kipa afe bekiโ€ aliwaza..

Itaendelea.. ๐Ÿ

full 1000
0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MPANGAJI 04 ๐Ÿ๐Ÿซ ยฐยฐยฐยฐ Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida

yake, akitumia vifaa kadhaa alivyokuwa navyo, alipiga push up za kutosha na mazoezi mengine kisha akaenda bafuni na kuoga na siku hiyo aliamua kuvaa nguo za kawaida kabisa, alivaa pensi na raba kisha akavaa na kofia moja matata iliyokua na herufi chache tu โ€œCKโ€ kisha alifungua kwenye begi lake na kutoa kiasi cha pesa na kuhesabu noti kadhaa na kuzitia kwenye waleti yake halafu akatoa simu yake na kukuta missed calls mbili za Esta,
โ€œla haulaa!โ€ alijisemea sasa akivuta begi lake na kuchukua ufunguo mezani na kutokomea nje
Alimkuta Esta akiwa mlangoni na begi lake tayri kwa safari..
Mama Mwajuma nae alikuwepo...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpangaji-04-asubuh-na-mapema-sele-aliamka-na-kufanya-mazoezi-kiasi-kama-ilivyokuwa-kawaida

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpangaji
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
๐Ÿ๐Ÿ  MPANGAJI 05  โ€ขโ€ขโ€ข  Sasa Esta alitafuta namna ya kuanza mazungumzo yake yale aliyoyaita rasmi, Aliweka komputa
๐Ÿ๐Ÿ MPANGAJI 05 โ€ขโ€ขโ€ข Sasa Esta alitafuta namna ya kuanza mazungumzo yake yale aliyoyaita rasmi, Aliweka komputa
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
MPANGAJI  ...  01  ๐Ÿ๐Ÿ  Hakuna mpangaji yoyote ambaye alikuwa anafahamu asili ya Yule mpangaji mwenzao
MPANGAJI ... 01 ๐Ÿ๐Ÿ Hakuna mpangaji yoyote ambaye alikuwa anafahamu asili ya Yule mpangaji mwenzao
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
MPANGAJI 02  ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ  Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku
MPANGAJI 02 ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku
SEHEMU YA 23  CHUMBA CHA MPANGAJI
SEHEMU YA 23 CHUMBA CHA MPANGAJI
MPANGAJI 03  ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ  Sele hakukaa hata kidogo aliondoka zake mara tu baada ya kumuacha Ester pale kwao, Sasa Ester
MPANGAJI 03 ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ Sele hakukaa hata kidogo aliondoka zake mara tu baada ya kumuacha Ester pale kwao, Sasa Ester
MPANGAJI  ...  01
MPANGAJI ... 01
MPANGAJI 02  ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ
MPANGAJI 02 ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23

636
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25

507
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

144
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

124
AMIRAH WANGU โ€ƒ Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU โ€ƒ Sehemu ya 01

116
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

81
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

80
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

5

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.77K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.63K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.56K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake๐Ÿ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU โ€ƒ Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU โ€ƒ Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah ๐Ÿคšnioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest