"Nasikia unaweza kuchora hadi yaliyomo moyoni, naomba uchore vitu vinavyo sumbua moyo wangu" Mike aliongea
Basi karatasi moja kubwa ililetwa, Ciara alimtazama kwa umakini Mike, baada ya kuona kila kitu alianza kuchora.....
Dakika 30 hazikupita alimpatia karatasi linaloonesha vitu vinavyo msumbua
Mike alijikuta akicheka hasa baada ya kuona kachorwa anamkumbuka girlfriend wake wa zamani
"Kazi nzuri sana, hii picha nitaiweka chumbani kwangu.....twende ukanioneshe ni sehemu ipi inafaa kuweka hii picha" Mike aliongea
Ciara alimfuata kwa nyuma, kwa mara ya kwanza kabisa aliingia kwenye chumba cha Bilionea.
Si mtu wa kushangaa shangaa kama watumwa wengine, aliangalia sehemu inayofaa kuwekwa picha.
"Nadhani nahitaji ngazi ili nifikie...." Ciara aliongea
"Chumbani kwangu kuletwe ngazi?....panda kwenye mabega yangu uhakika utafikia."
Ciara hakuwa na neno, alipanda kwenye mabega ya Mike.....vile ni mwepesi mikononi alifanya chapu chapu kubandika picha
"Tayari shingo yangu ilianza kuuma....mapaja yako mazito utadhani una undugu na viboko" Mike alilalamika
Ciara alielewa ni kitu gani anatakiwa kufanya, taratibu alianza kumfanyia masaaji ya shingo na mabega kwa ujumla.
Mara nyingi hii kazi huwa anafanya Suzy lakini siku ya leo ilichukuliwa na Ciara
Mikono yake ilikuwa ni laini mfano wa Mtoto mchanga, kitu kilichomfanya Mike afurahie zaidi ni namna Ciara alivyokuwa anampunguzia maumivu ya shingo huku akimsimulia hadithi za mapenzi.
Hadithi zake hazikuwa na tofauti na zile za kitandani.
Taratibu maumbile ya Mike yalianza kusimama.
"Kwanini unanisimulia hadithi hizi..." Bilionea Mike alijikuta akiuliza
"Hakuna Mwanaume asiyevutiwa na hadithi kama hizi, nia yangu ni wewe kufurahi na si kingine"
"Twende bafuni tukaoge, inaonekana upo vizuri katika kutoa burudani na si kusimulia tu" Mike aliongea
Ciara aliachia tabasamu, lengo lake lilikuwa ni kumfurahisha tu Mike na hadithi zake na si vinginevyo
Yeye ni Mtumwa katika jengo hili hivyo alimuacha Mike akauchezea mwili wake atakavyo.
Mike alijipigia zake mabao staili zote alizokuwa anajua.
"Naomba ulale chumbani kwangu huna haja ya kuogopa...." Mike aliongea
Ciara hakuonesha kushtuka, badala yake alimsogeza Bilionea kifuani kwake akamlaza
Mapigo ya moyo wake yalikuwa yametulia hakuonekana kuogopa. Hii ilimfanya Mike alijiulize zaidi ya mara mbili huyu ni Mtumwa wa aina gani anayekaa kwa kujiamini utadhani mother house
Itaendelea ๐ฅ
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
VITOTO VYA ELFU MBILI VINA HATARI Sehemu ya kwanza Dada umeamkaje "nimeamka salama mdogo wangu vipi mbona Asubuhi asubuhi leo"
Dada umeamkaje "nimeamka salama mdogo wangu vipi mbona Asubuhi asubuhi leo" aaah naenda kikundi mala moja kuchagua viwa...
๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐๐จ๐๐ช๐ ๐๐ก๐๐ก๐๐ข๐๐ข๐ฃ๐๐ฆ๐๐ SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
lako umbali mrefu, kuna nini mama angu kipenzi, tafadhali naomba uniambie?"Meckson aliniuliza. Sikufanikiwa kumjibu kwa...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
tu kukuona alifanya nitake kutafuta sababu ya kukufukuza kazi si unakumbuka ulivyonijibu shit?" Nilimtizama tu maan sij...
"Nasikia unaweza kuchora hadi yaliyomo moyoni, naomba uchore vitu vinavyo sumbua moyo wangu" Mike aliongea
Basi karatasi moja kubwa ililetwa, Ciara alimtazama kwa umakini Mike, baada ya kuona kila kitu alianza kuchora.....
Dakika 30 hazikupita alimpatia karatasi linaloonesha vitu vinavyo msumbua
Mike alijikuta akicheka hasa baada ya...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea-03-inaonekana-umevutiwa-na-ciara-vipi-nimlete-chumbani-kwako-usiku-
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19 "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA (01-05) SEHEMU YA : 01 "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 17 Ciara hakuonesha hofu hata kidogo, mjeledi uliokuwa mkononi kwa Mike haukumtisha
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 07/08 Wakati kisu kinanolewa, Ciara alijitahidi kupika chakula alichohisi kitamfaa Katy (Mama yake Mike)
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 12 "Ni kama hujafurahia Mimi kuwa hapa...." Jessa aliongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06) "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 09..10. "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 14,15 Mike alimuweka Ciara kitandani kwake kisha akaanza kumbusu kwa lazima.....hakuishia hapo alianza kupambana kumvua nguo ili wafanye mapenzi,
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13 Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 04...5 Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili
Maoni