Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
26 Sep 2025
47 views
VYOTE NDANI GONGA94
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"Kuna shida gani...."
"Ciara ametoroka, sina uhakika kama nitampata tena" Mike aliongea huku akihisi kukosa hewa
Pumzi zilimuishia alijikuta akipoteza fahamu.
Alikuja kushtuka akiwa chumbani kwake
"Umeamka..." Suzy aliuliza
"Naomba umtafute Ciara kama usipompata naomba usirudi pia, mkataba wetu ndio utakuwa umeishia hapo"
"Nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu" Suzy aliongea kisha akaondoka
Akiwa anashuka ngazi Katy alimsimamisha
"Kitu gani kinaendelea...."
"Ciara katoroka hivi tunavyo zungumza naenda kumtafuta....kama sitampata sitaweza kurudi hapa" Suzy aliongea kisha akaendelea na safari yake
Katy aliachia tabasamu, bila kupoteza muda alielekea chumbani kwa Jessa ambaye kwa sasa anaishi kama Mtoto wa Mfalme
"Mike yupo katika wakati mgumu ni wakati wa wewe kuiba moyo wake. Kama hautafanikiwa kwa sasa kamwe hautaweza kuiba moyo wake"
"Ni kitu gani natakiwa kufanya...."
"Mike hawezi kukaa ndani masaa 24 ni lazima ataenda bustanini kupumzika.... hakikisha unaitumia hii nafasi vizuri"
Jessa alitikisa kichwa kuashiria ameelewa
Ni kweli baada ya Mike kuona kama anakosa hewa hivi alienda bustanini kupumzika.
Jessa baada ya kumshuhudia alivaa nguo za kimtego, alivunga kama hafahamu kuwa Mike yupo bustanini.
Aliingia taratibu swimming pool akaanza kuogelea, ghafla tu alianza kupiga kelele akijitia kwenye maji kuna hatari
Mike wala hakujali aliangalia jicho moja tu kisha akaendelea kutazama nyota wa angani
Katy ndio kuja mbio mbio, aliingia kwenye maji akamtoa
"Hakika una roho ngumu sana wewe mtoto, usitake kuniambia hukusikia kelele za Jessa" Katy alifoka
"Hiyo ni bidhaa yangu hata kama itaharibika nayepata hasara ni Mimi siyo wewe hivyo acha kuteseka" Mike aliongea akataka kwenda ndani lakini Katy alimsubirisha
"Vipi kwani umekuwa na ubaguzi siku hizi!....huyu ni Mtumwa wako sawa na Ciara kwanini hujali kuhusu yeye"
"Thamani ya Ciara haiwezi kulingana na mtu yoyote unayefikiria wewe.... naelewa kwanini unamshikiria huyo Binti kama yai. Siku ya leo nitakuambia ukweli.... ndiyo ni mrembo lakini hana vigezo vya kuwa na Mimi" Mike aliongea kisha akaondoka
Katy aliishia kukodoa macho, hivyo hivyo kwa Jessa yeye pia alisalia kukodoa macho tu.
Upande mwingine, Suzy alimtafuta sana Ciara kiasi cha kukata tamaa lakini kila akikumbuka anatamani kuwa karibu na Mike alipita huku na kule kumtafuta.
Mike alizidi kuumia moyo wake, kama Ciara angeona namna Mike anavyoteseka nadhani angerudi upesi
Ciara anaamua kulipa pesa kwa watu wengine ili waweze kumsaidia. Lakini pamoja na yote bado ilikuwa ni changamoto
Anaamua kutengeneza uvumi wa uongo kuwa Jasinta kajinyoga.
"Kama hajaondoka kwenye huu Mji naamini atajitokeza nyumbani kwa Shangazi yake" Suzy alijisemea ndani ya moyo wake kisha akaenda kukaa karibu na nyumba ya Jasinta
Muda ulizidi kwenda bila Ciara kutokea.
Akiwa katika hali ya kukata tamaa alifanikiwa kumuona Ciara akiwa mwenye haraka.
"Mbwa huyu hakika anampenda Shangazi yake kuliko kitu chochote...." Suzy alijisemea kisha akarusha wavu
Ciara alishtukia anakamatika kama samaki kwenye nyavu.
"Nimekutafuta muda mrefu sana panya wewe, ahsante kwa kujileta" Suzy aliongea kisha akamzimisha Ciara
Alimbeba begani akamuingiza kwenye gari, safari ya kwenda kwenye jengo la Mike ilianza.
Mike akiwa ametulia ndani analetewa taarifa kuhusu ujio wa Suzy.
Anaachia tabasamu pana usoni mwake, kwa hasira alizokuwa nazo za kutikiswa moyo wake alibeba mjeledi kisha akaelekea getini kumpokea Ciara
Itaendelea 💥
Full 1000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
KARMA Sehemu ya 1 lissa mwalla mtunzi 😭🥹💔
Kwa majina naitwa Blanka Meena,nimekua nikiwa na baba na mama nyumbani kwetu moshi.familia yangu ilikua ni ya furaha sa...
FATE TO LOVE YOU 💓 15 MTUNZI: UHURU MEDIA Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
alimgeukia Lina, akampa mkono wake kwa heshima zote. “Naomba tucheze. Lina alicheka kidogo kwa aibu. “Mimi sijui kuchez...
FATE TO LOVE YOU 💓 13 MTUNZI UHURU MEDIA Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi Nabir. Walikaa na kuanza
kuongea maswala yao ya kibiashara lakini akili ya Jerry haikuwa pale alikuwa akimkumbuka jinsi walivyovamiwa na Stephen...
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
"Kuna shida gani...."
"Ciara ametoroka, sina uhakika kama nitampata tena" Mike aliongea huku akihisi kukosa hewa
Pumzi zilimuishia alijikuta akipoteza fahamu.
Alikuja kushtuka akiwa chumbani kwake
"Umeamka..." Suzy aliuliza
"Naomba umtafute Ciara kama usipompata naomba usirudi pia, mkataba wetu ndio utakuwa umeishia hapo"
"Nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu" Suzy aliongea kisha akaondoka
Akiwa anashuka ngazi Katy alimsimamisha
"Kitu gani kinaendelea...."
"Ciara katoroka hivi tunavyo zungumza naenda kumtafuta....kama sitampata sitaweza kurudi hapa" Suzy aliongea kisha akaendelea na safari yake
Katy aliachia tabasamu, bila kupoteza muda alielekea chumbani kwa Jessa ambaye kwa sasa anaishi kama Mtoto wa Mfalme
"Mike yupo katika wakati mgumu ni wakati wa wewe kuiba moyo wake. Kama hautafanikiwa kwa...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea-16-mtunzi-mclaurian-suzyyyyy-mike-alipaza-sauti-suzy-alikuja-chapu-
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 03 "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19 "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA (01-05) SEHEMU YA : 01 "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 17 Ciara hakuonesha hofu hata kidogo, mjeledi uliokuwa mkononi kwa Mike haukumtisha
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 07/08 Wakati kisu kinanolewa, Ciara alijitahidi kupika chakula alichohisi kitamfaa Katy (Mama yake Mike)
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 12 "Ni kama hujafurahia Mimi kuwa hapa...." Jessa aliongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06) "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 09..10. "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 14,15 Mike alimuweka Ciara kitandani kwake kisha akaanza kumbusu kwa lazima.....hakuishia hapo alianza kupambana kumvua nguo ili wafanye mapenzi,
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13 Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 04...5 Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili
Maoni