Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha
Gonga94 ยท Stories

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu nikijua. Leo naenda kusema ukweli na kama kunyesha inyeshe tuu ila leo niliapa naenda kusema ukweli kwa maelezo alionipa babaa ni kweli nampenda sana Boss na sina jinsi, ila baba yangu ni kama wale wababa wa kihindi mjue, nampenda snaa huwa hanifokeii bali anaanmbia ukweli wa mambo yanavyoenda wazazi kama hawa Tanzania ni wachache sana na mmoja ni huyu wa kwangu

Nilienda officine sasa tukiwa tumekaa officine maaan kwa sasa office yangu ipo kwa boss alikuja mmama mmoja officine alitukuta mimi na boss ila kila mtu yupo busy "Habari zenu wanangu" alisema huku akiachia tabasamu la kweli yaani mhhh "salama mama karibu, Angel mama yangu ndio huyu hapa kutana nae" nilimsalimia mama yake boss kama boss alivyonielekeza kuwa ni mama yake mimi sijui ni mama yake au laa ila nimeambiwa ni mama yake ndio ninachojua "mama huyu ni Angel"

"Nafahamu hiloo" alisema mama yake boss mimi nilibaki namkodoleaa mimacho tuu huyu mwanamke ila sikushangaa "ooh kumbe ni mrembo kweli kama ulivyosema ni mzuri sana ila nahitajiaa maongezi naee " alisema mama yake boss mimi nilikuwa nawasikiliza kwa maan walikuwa wanaongea mada nisizofahamu "okay Angel Nakualika nyumbani kwangu leo update dinner to naomba ufike bila kukosa binti yangu" alisema akanisogelea na kunishika shavu "lakini madam mimi...." alidakia boss

"Unataka useme kuhusu baba yako? Muombe ruhusa basi atakuelewa naamini hiloo" nilimtizama huyu mjinga anajifanya ananijua sana eeh ngoja ntamuonesha ukweli halisi mimi ni nani hapaa mjinga huyu, nilitaka kukanusha kauli yake ya ukweli dhidi yangu, ila kabla sijaongeaa aliiingia Suzy bila hata hodi mimi huyu mwanamke simpendii angejuaa asingekuwa anajileta letaa hapa nilimtizmaa alikuja akamkumbatiaa yule mama yake boss

"Ooh aunty ujue nilikumiss sana, afu umekuja hujanambiaa kuhusu kama umekuja yaani umekuja hata hujanambia yaani Aunty Thuu bhana ujuee mimi sipendi mimi halo hasira sishanija mpaka najiona siwezi tena kuvumilia huu ujinga kwa kweli mhhh yaani hili lipuuzi linaniboaa "okay my lovely ana my pretty gal nilikuwa nitoke hapa nije officine kwako kukuutaarifu mualikoo wako leo nakualika nyumbani tu have a dinner kipenzi" alisem yule mama yake kama alivyosema Suzy Mrs Thuuโค baa da ya pale yule mama aliondoka nikampigia baba akaakubali akasema niende kama ni dinner tu niendeee nilishikuru kwa hilo

"Haya twendee sasa maan ni tunaenda wote" nilimtizama boss "hapana miminapitia dukanai siwezi vaa hivi alinitizama tu "sio dukani tuu nitakupeleka na saloon nataka nikuone leoo na make up upendeze sawa malaika ila ..." ni kama kuna kitu alitaka kunambiaa nilimtizama tu nikakataa alinitizama "sawa kama hutaki mimi naenda. Tutakutana kwa Mama okay baaadae" muda huo huo akaja Suzy "ooh my future baby leo nitaenda kuongea na Aunty kila kitu kwasababu na baba na mama watakuwepo itakuwa greet" alisem yule mpuuzi nilipata hasira mimi "okay"aljibu kiufupi akatoka njee mpaka parking nilimfuata nikaingiaa kwenye garii
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha

tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu nikijua. Leo naenda kusema ukweli na kama kunyesha inyeshe tuu ila leo niliapa naenda kusema ukweli kwa maelezo alionipa babaa ni kweli nampenda sana Boss na sina jinsi, ila baba yangu ni kama wale wababa wa kihindi mjue, nampenda snaa huwa hanifokeii bali anaanmbia ukweli wa mambo yanavyoenda wazazi kama hawa Tanzania ni wachache sana na mmoja ni huyu wa kwangu

Nilienda officine sasa tukiwa tumekaa officine maaan kwa sasa office yangu ipo kwa boss alikuja mmama mmoja officine alitukuta mimi na boss ila kila mtu yupo busy "Habari zenu wanangu" alisema huku...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-chapter-13-niliamka-nikamsalimia-baba-yangu-kwa-furaha

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-chapter
 *NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   *Chapter 14&15*  "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *Chapter 14&15* "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12  "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12 "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17  Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17 Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*    Chapter 18  Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18 Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
 *NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 18&20  Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18&20 Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*    Chapter 9  Nililala kichwa kikiwa kinawaka moto
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 9 Nililala kichwa kikiwa kinawaka moto
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 10  "Nijibu tafadhari jibu lako ndio amani ya moyo wangu tafadharii malaika wangu"
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 10 "Nijibu tafadhari jibu lako ndio amani ya moyo wangu tafadharii malaika wangu"
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8  Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 7  Nilikuwa nina maumivu makali sana nilikuwa naumiaa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 7 Nilikuwa nina maumivu makali sana nilikuwa naumiaa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*  Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.03K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest