Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PART 10 JINSI UTULIVU ULIVYOPONYA NDOA YANGU
Gonga94 · Stories

PART 10 JINSI UTULIVU ULIVYOPONYA NDOA YANGU

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
PART 10
JINSI UTULIVU ULIVYOPONYA NDOA YANGU

Pastor aliniambia hakikisha hauwapi adui zako kile wanachotaka au kutarajia. Akasema Mumeo anajua kabisa utakasirika, utauwasha Moto, utalia, sasa wewe fanya tofauti, badili gia angani. Tulia, relax kama hakuna kitu.

Sio siri sikuendelea kufungua zile picha nilitulia nikaachana nazo, japo moyo ulikuwa na maumivu sana ikabidi niingie kwenye maombi kumsihi Roho Mtakatifu anipe amani. Unajua unajiuliza hivi huyu mwanaume kweli Mume wa Ndoa anakuacha anaenda nje na anatumika haswaa, kuna muda nilikuwa nasikia sauti inasema MPASUE KICHWA HUYU, AU NASIKIA VUNJA VIOO VYA GARI, lakini najizuia. Hasira ilikuwa kali sana sana. Nikamwambia Mungu nipe utulivu.

Nilianza maombi, Mume wangu sikumwambia chochote, nilikuwa kimya sana mule ndani, japo yeye alitarajia vurugu na akatarajia labda nitafanya kitu chochote ila sikufanya, japo ukimya wangu uliongezeka zaidi, nikawa kuongea tena siwezi. Anaenda kazini anarudi Mimi kimyaa.

Baada ya wiki nakumbuka kulikuwa na Birthday ya rafiki yangu tuko nae kwenye kikoba aliamua kufanya Party, nikasema hapa natoka na siagi mtu ntarudi usiku acha nikatoe stress. Siku hiyo Mr alitoka alienda kazini, jumamosi huwa saa kumi na mbili anarudi, Mimi saa kumi na moja nikatoka. Nilivaa kagauni keusi kafupi, kiatu changu kizuri cha juu na kapochi, nilikuwa simple but classic. Basi bwana Mr Akarudi akakuta watoto na Dada wa kazi akauliza Mama yuko wapi, wakasema hayupo katoka, na sikutoka na gari niliita Bolt sikutaka hekaheka, basi akauliza mbona katoka bila Gari wakamwambia hatujui ila katoka.
Na Simu niliweka silence sikutaka kelele, nilitaka nirelax nitafute amani yangu ya moyo. Nikawa busy na wenzangu tunakula tunacheza yani raha tupu.

Kumbe bwana huku Jamaa kapiga simu mara kumi, katuma mamessage kibao, Mke wa Mtu sahizi uko wapi, pokea simu tafadhali, nakwambia nikijua ulipo nikakufwata utanijua, pokea simu 😀😀 vitisho haswa.

Akampigia Dada yangu Dada akasema hata Mimi nampigia hapokei, akampigia Mama yangu, Mama nae akasema hata Mimi nampigia simpati sijui atakuwa wapi, akaanza kuhangaika. Akatoka nyumbani kunitafuta.

Akawapigia wazazi wake kawaomba waje nyumbani kuna matatizo, na akaita hadi wasimamizi wa harusi waje.

Sasa imefika saa nne nikawa nimeshawakumbuka wanangu, ndio nachukua simu niite bolt nakuta missed call kibao, na Yeye akaanza kupiga tena. Nikapokea Hallow uko wapi, nikamwambia niko sehemu fulani, akasema nisubiri hapo hapo nakuja, nisubiri hapo hapo, nikasema sawa. Yani alikuwa kama Mtu mwenye pressure hivi.

Basi nikatulia, nikamsubiri akaja. Alivyokuja nikatoka kwenye sherehe namfwata, nilikuwa nimependeza mnoo yani mnoo, aliponiona akashuka faster, akaanza ulikuwa wapi, nani kakutoa outing, nani huyo, akasema aisee nitakunyonga niambie ulikuwa wapi kwa hasira, Nikamwambia hapana nilikuwa kwenye Birthday ya rafiki yangu, twende ukaone, ikabidi nimpeleke kwenye birthday ndio kuingia akawaona wenzangu wengi akasalimia tukatoka. Ila tunatoka pale akaanza kwanini hujaniambia kama unatoka, kwanini hujaniaga, kwanini umeacha gari, nani kakuleta. Nikamwambia nilipanda Bolt gari haina mafuta. Basi tukaanza safari ya kurudi, mara naona katafuta hospital akapaki, nikamwambia hospital sahizi kweli, akasema ulisema tukapime naomba tukapime, nikamwambia sawa. Basi tukashuka, imagine hiyo ni saa tano, tukaingia hospital, tukamuona Doctor, tukamuomba atusaidie. Basi tukapima, tukawa tumekaa tunasubiri majibu. Hapo nimekaa simu zinaita Mama, Dada wananiambia unatafutwa, nikawaambia niko nae nilienda kwenye sherehe, wakasema sawa kama amekupata.

Basi tulipokea majibu, tuko sawa kiafya, tukaanza safari ya kurudi nyumbani. Njia nzima analalamika, kweli Mke wangu umevaa nguo fupi namna hii kweli, halafu hujaniaga kweli, Mimi nikanyamaza tu kimya. Tumefika nyumbani nikaingia bafuni kuoga, natoka namkuta yuko na simu yangu, anapekua message, Whatsapp yani kila mahali wala sikumsemesha nikaenda kulala. Baadae akaja kitandani akanifunua shuka, akaanza kwanini hukupokea simu zangu nakupigia masaa matatu hupokei, inaonekana ulikuwa na Mtu mahali ndio baadae ukienda kwenye party, kwanini usiage, niambie ukweli ulikuwa na nani. Kwanini unatoka unaacha watoto peke yao? Nyie ugomvi ukaanza huo usiku, akaniamsha niambie ulikuwa wapi, ulikuwa na nani? Akaanza hata kama nimekukosea sistahili hii adhabu, husemi kitu, hujibu chochote na wala hunijali, yani huonyeshi kuumia kwa chochote kuhusu Mimi, inaonyesha hunipendi tena na kuna Mtu unampenda. Wewe zamani ulikuwa hadi unanililia kweli Jane umekuwa hivi sasahv kweli?

Naomba niambie huyo mwanaume ni nani, anaekupa kiburi, naomba niambie nimfwate Mimi nimerudi kwenye familia yangu na siko tayari kuipoteza Ndoa yangu. Sitakubali nitakuua na Mimi nife, sema ukweli kabla sijakuumiza, Daaaah niliishiwa nguvu jamani.

Niwe mkweli sikuwa na jibu nikabaki nashangaa imekuwaje jamani, hivi kweli mambo yote aliyonifanyia Leo Mimi kwenda tu kwenye Birthday imekuwa kesi kweli. Akanikaba nakwambia niambie nani anakupa kiburi, mbona hujali kuhusu Mimi kabisaaa, ikabidi nianze kulia nilipiga kelele niuwe, niuwee kama uniamini basi niuwe, hivi kweli Mimi na akili zangu nichepuke ya nini? Labda kama wewe hunipendi, unataka sababu ya kuondoka tena. Alivyoona nalia sana akawa mpole, akaanza Basi Mama basi Mke wangu nisamehe, unajua nina wivu, lakini pia You have been acting so strange now days, umebadilika sana Mke wangu nisamehe basi nisamehe

Nikaanza kulia, nikakumbuka kila uchungu wacha nimwage machozi

ITAENDELEA
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PART 10 JINSI UTULIVU ULIVYOPONYA NDOA YANGU

PART 10
JINSI UTULIVU ULIVYOPONYA NDOA YANGU

Pastor aliniambia hakikisha hauwapi adui zako kile wanachotaka au kutarajia. Akasema Mumeo anajua kabisa utakasirika, utauwasha Moto, utalia, sasa wewe fanya tofauti, badili gia angani. Tulia, relax kama hakuna kitu.

Sio siri sikuendelea kufungua zile picha nilitulia nikaachana nazo, japo moyo ulikuwa na maumivu sana ikabidi niingie kwenye maombi kumsihi Roho Mtakatifu anipe amani. Unajua unajiuliza hivi huyu mwanaume kweli Mume wa Ndoa anakuacha anaenda nje na anatumika haswaa, kuna muda nilikuwa nasikia sauti inasema MPASUE KICHWA HUYU, AU NASIKIA VUNJA VIOO VYA GARI, lakini najizuia. Hasira ilikuwa kali sana sana. Nikamwambia Mungu nipe utulivu....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/part-10-jinsi-utulivu-ulivyoponya-ndoa-yangu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi part
🔥🔥 BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUA😋😋🐓🐓 Part One
🔥🔥 BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUA😋😋🐓🐓 Part One
I was sleeping when Olivia's father entered my apartment with his guards, when I woke up, I saw him, but at first I thought I was dreaming because that is...
I was sleeping when Olivia's father entered my apartment with his guards, when I woke up, I saw him, but at first I thought I was dreaming because that is...
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 8
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 8
🔥🔥 BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUA😋😋🐓🐓 Part2
🔥🔥 BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUA😋😋🐓🐓 Part2
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 5
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 5
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 9 (hali mbaya kijini leo nyukiii)😭😭😭😭😭
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 9 (hali mbaya kijini leo nyukiii)😭😭😭😭😭
DRAMA OF LOVE  part 4.
DRAMA OF LOVE part 4.
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥  Part 2
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 2
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 3
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 3
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 6
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 6
BODY🍆COUNT🍑 part 3.
BODY🍆COUNT🍑 part 3.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 18.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 18.
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 7
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 7
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 4
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 4
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI!(Part 5)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI!(Part 5)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI!(Part 4)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI!(Part 4)
PENZI LA TAJIRI NA BINTI MASIKINI ( Part 1)
PENZI LA TAJIRI NA BINTI MASIKINI ( Part 1)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 3)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 3)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! ( Part 6)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! ( Part 6)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part1)
🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part1)
THE FACE IN THE POT (PART 1) – DO NOT EAT AFTER MIDNIGHT
THE FACE IN THE POT (PART 1) – DO NOT EAT AFTER MIDNIGHT
SITOSAHAU ALIVYONIPAKIA MKONGO KUNIKOMOA.   PART: 04
SITOSAHAU ALIVYONIPAKIA MKONGO KUNIKOMOA. PART: 04
PART 1: THE NIGHT MY WIFE WALKED IN — AND BEAT BOTH ME AND MY SIDE CHICK LIKE THIEVES!
PART 1: THE NIGHT MY WIFE WALKED IN — AND BEAT BOTH ME AND MY SIDE CHICK LIKE THIEVES!
The Girl Who Was Buried Pregnant (Part 6)
The Girl Who Was Buried Pregnant (Part 6)
🎙️WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 2)
🎙️WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 2)
MAPENZI YA KUKOMOANA  PART: 01
MAPENZI YA KUKOMOANA PART: 01
MUOKOTA MAKOPO ALIVYONIFIKISHA KILELENI, HADI NIKAMDHARAU MUME WANGU  PART 01
MUOKOTA MAKOPO ALIVYONIFIKISHA KILELENI, HADI NIKAMDHARAU MUME WANGU PART 01
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 22.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 22.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 37.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 37.
‎BIBI YA BESHTE YANGU (Part 7)🥵💦
‎BIBI YA BESHTE YANGU (Part 7)🥵💦
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

678
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

412
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37

288
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

288
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

236
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

135
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

132
REAL LOVE  Chapter 12

REAL LOVE Chapter 12

46
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)

🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)

19

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.85K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.06K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI) Post Mpya
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA 😭😭 Acha nilie alafu ninyamaze duku duku langu nilimalize maana najiuliza maswali magumu sana ivi serekali inajua hawa wahindi wanatufanyisha kazi za ndani raia wa nchi hii...

REAL LOVE  Chapter 12 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 12
@majario LIVE

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa "wewe...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi mimi nilikaa home siku 3. Nikapigiwa simu ya kwenda kusaini mkataba katika iyo bank. Na kweli nilienda nikasaini mkataba wa miaka 2. Na mshahara ulikuwa ni mrefu sana ....

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Daaah yani sikuwa naelewa nifurahi pale . Ama ninune. Yani nilikuwa katika hali ambayo ata siielew. Basi zayd akanishika mpaka karibu na ile gari kabisa. Akafungua milango na nikaona...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘
@majario LIVE

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga🙈🙈 wenyewe walikuwa wako busy kubebishana😆 nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote...

REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest