Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
36 views
VYOTE NDANI GONGA94
Ronaldo tunayemjua sisi ameshinda World Cup 2, moja kachukua 1994 na nyengine 2002.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Epuka matapeli Ronaldo ni mmoja tu tena anatokea Brazil anaitwa Ronaldo Luís Nazário de Lima O Fenômeno R9.
Ronaldo tunayemjua sisi ameshinda World Cup 2, moja kachukua 1994 na nyengine 2002.
Ronaldo wetu ana historia ya kutwaa tuzo ya Ballon d'Or akiwa mchezaji mdogo kuliko yeyote aliyewahi kunyakua tuzo hiyo De Lima alikua na miaka 21 na miezi 3 hiyo ilikuwa mwaka 1997, hizi tuzo R9 anazo mbili nyengine kanyakua 2002 baada ya kushinda kombe la Dunia.
Ronaldo tunayemjua sisi alinyakua Balloon D'Or mbele ya Zinedine Zidane yule wa moto, Thierry Henry, Rivaldo na Alessandro Del Piero.
Ronaldo ni mmoja tu.
Steve Champion
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya...
Ronaldo tunayemjua sisi ameshinda World Cup 2, moja kachukua 1994 na nyengine 2002.
Epuka matapeli Ronaldo ni mmoja tu tena anatokea Brazil anaitwa Ronaldo Luís Nazário de Lima O Fenômeno R9.
Ronaldo tunayemjua sisi ameshinda World Cup 2, moja kachukua 1994 na nyengine 2002.
Ronaldo wetu ana historia ya kutwaa tuzo ya Ballon d'Or akiwa mchezaji mdogo kuliko yeyote aliyewahi kunyakua tuzo hiyo De Lima alikua na miaka 21 na miezi 3 hiyo ilikuwa mwaka 1997, hizi tuzo R9 anazo mbili nyengine kanyakua 2002 baada ya kushinda kombe la Dunia.
Ronaldo tunayemjua sisi alinyakua Balloon D'Or mbele ya Zinedine Zidane yule wa moto, Thierry Henry, Rivaldo na Alessandro Del Piero.
Ronaldo ni mmoja tu.
Steve Champion
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ronaldo-tunayemjua-sisi-ameshinda-world-cup-2-moja-kachukua-1994-na-nyengine-2002
Maoni