VYOTE NDANI GONGA94
๐ฅ๐ฅ BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUA๐๐๐๐ Part2
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Sehemu ya pili.
๐ Mtihani huu niache kazi au niende ndani akanione...๐
Nikameza mate ya akili tamaa mbele mauti nyuma hapa nitalika kizembe nikamwambia madam.
" Bora nikose kazi lakini sipo tayali kufanya ivyo.
" Juma unaogopa nini kwani wewe ujawai kula kitu roho inapenda.
( Anavyoongea anageuka ananionyesha alivyojaaliwa na mimi ngozi hii sijawai kuibatua naitamani ila ndio uoga umenijaa nikamwambia)
" Wewe mke wa mtu sisi waswahiri tunayo kauli zetu mke wa mtu sumu.
( Mala anapokea simu Wanaongea rugha zao mimi nikatulia tuli kimya akamaliza akaniambia)
" Mdogo wangu anakuja sasa twende ukanipige moja la fasta tu niwai stend kumpokea.
" Siwezi madam Nisamehe sana kama nakukosea.
( Madam akasema kwa hasira)
" Wewe ngoja nirudi usinilete ujinga mimi.
( Akaondoka akafunga mlango nikabaki mwenyewe nawaza ivi nile kweli nundu lile akinogewa itakuwaje bora ningekuwa naenda home narudi ningemla kisela kazi nakaa hapa hapa mtihani huu...nikafanya kazi zangu mala akaja madam na mdogo wake wa kike wakakaa sebuleni na yeye mumewe anayo matatizo kama ya mume wa madam akawa anamwambia dada yake)
" Mwezi huu yani mume wangu jogoo apandi mtungi na mimi mzima natamani nitoke nje.
" Mdogo wangu hili tatizo sijui ni ugonjwa mpya au wamekula mirungi mibaya maana ata wangu na yeye ivyo ivyo.
" Nimemwambia nije kukaa kwako siku nne ivi hili nikirudi niwe kama mpya kwake tuone inaweza kustuka.
" Sawa karibu.
( Mimi nikawa nishamaliza kazi nishasikia matatizo yao nikasema kimoyoni unaweza kuwa na pesa alafu ukawa na tatizo nguvu za kiume unafezeeka njaa inaniuma na jikoni siruhusiwi mimi kupika...mala mumewe karudi wakasalimiana na Shemeji yake akaenda jikoni mkewe anapika namsikia anamwambia mkewe)
" Chakula cha juma weka mafuta taa kidogo.
" Kwanini mume wangu tuweke mafuta ya taa kwenye chakula.
" ivi ujawai tembelea shule wewe za wanafunzi wanakaa uko uko wanawekea mafuta taa hili kuwapunguza matamanio.
" Sasa uyu kapuku atamtamani nani?
" Tupo na mgeni hapa asije akamtamani.
" Mdogo wangu unamchukuliaje alale na ngozi nyeusi kweli.
" Hahahaha kweli mke wangu ngozi nyeusi inanuka ushubwada.
( Neno liliniuma nikajikaza namsikia anatukana ngozi nyeusi akatoka jikoni akaniletea zarau)
" Juma njoo ufungue viatu ivi.
( Yani ata kama ndio ubosi sio kama ivi nikamfungue viatu yani kakaa kwenye sofa na Shemeji yake mimi nikaenda kumfungua viatu nikamtoa na soxi Shemeji yake akamwambia boss)
" Shemu auna kitambi unavuliwa viatu ukiwa na kitambi je?
" Jeuli ya fedha.
" Sio ivyo uyu wa kiume kuna kazi zengine sio za kufanya yeye.
" Dada yako anampa mpaka nguo za ndani anafua mbona uyu kaja kutafuta pesa uwanaume wake atafanya uko kwa weusi wenzie.
" Shemeji ubaguzi sio kitu kizuri Sisi wote ni binadamu tu rangi isikufanye ujione bora zaidi ya mwenzio.
" Shemeji wewe uwajui hawa ata marehemu babu zetu waliwageuza watumwa hawa kuna sababu hawa ni majeuli wamezaliwa kututumikia.
( Mimi nilikaa kimya ila najibu kimoyoni ndio maana jogoo alipandi mtungi limejaaliwa kuongea pumba tu....mala mkewe akatenga chakula wakala na mimi nikala alafu nikakusanya vyombo nikaenda kuosha...usiku ukafika madam akaja kuniambia)
" Usifunge mlango nakuja usiku sana chumbani kwako.
" Sawa.
( Niliitika uku naogopa...wakati sasa naenda kulala mdogo wa madam akaniita wakati huo madam na mumewe wapo chumbani kwao akanipa kikaratasi...Nikaingia nacho chumbani kwangu nakifungua kinasema)
" Usifunge mlango nakuja usiku sana kukufuta chozi la kiume kwa ulivyotukanwa mchana umemvua viatu boss wako sasa nataka univue mimi nguo ya ndani upunguze hasira zako nakupenda"
( Nikabaki nafikilia huu mtihani huu nifunge au nisifunge je wakija wote nafanyaje...nawaza uku nimeshika ile karatasi usingizi si ukanichukua mlango sijafunga taa sijazima nimelala na karatasi mkononi usiku sana nasikia naguswa na mkono laini wenye bangiri)
" Juma amka unile.
ITAENDELEA
JE NI NANI ALIMWAMSHA JUMA MDOGO MTU AU DADA MTU?...USIKOSE EPISODE YA TATU
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi boss-naogopa-mumeo-hataniua-part2