NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"๐ Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini
ni sawa Boss hakuna shida vyovyote tu ni sawa๐๐.... wow Good basi tuondoke ni vyema tukitumia gari langu coz tukishatoka dinner nitakudrop home ndo niende nyumbani kwangu.... lol kwani Hance kaanza lini kucare kiasi hiki๐ณ๐ณ๐ณ nilimkubalia tu si mnajua Boss lazima umnyenyekee....... nilifunga gari yangu tukaondoka cha ajabu sasa Hance alinipeleka katika hotel ile ile tuliyopanga kukutana na Jordan ๐ฉ๐ฉ๐ฉ ni hotel maarufu na ya kifahari katika nchi ya Canada....
Kibaya kuliko vyote wakati naingia na Boss Hance nilionana macho kwa macho na Jordan na kibaya zaidi tukakaa katika meza ya jirani na aliyokaa Jordan..... roho iliniuma sana๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ Jordan aliponiona na Hance alinitumia msg akaniambia sorry sikujua kama tayari una boy Friend kisha akaweka na viimoji vya kulia๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ....... nilipoifungua msg yake niligeuka kimtizama lakini tayari alikuwa kaishakaa kwenye baiskeli yake na kaanza kuondoka pale kusema kweli nilijikuta natokwa na machozi๐ฅน๐ฅน๐ฅน๐ฅน..... nilitamani kumuita lakini nikajikaza.......tuliletewa vitabu vya msosi tuchague chakula......wakati chakula kinaandaliwa tukaletewa vinywaji tukawa tunakunywa huku tukingojea chakula kiive muda wote nikawa naitizama simu yangu kama Jordan atanitumia msg nyingine lakini wapi๐ฅฒ๐ฅฒ...... pink is everything ok?! Unaonekana ni kama hauko sawa nini kinaendelea?!.....niko sawa Boss hakuna kitu....... don't call me Boss...niite Hance...... lol๐ซข๐ซข๐ซข mbona ghafla๐๐๐ hapo kwanza nishangae๐ณ
Kwanini boss Hance ananizuia mimi kumuita Boss๐ณ๐ณ๐......Nilimuitikia tu huku kichwani nikiwa najiuliza sasa nitawezaje kumuita Hance kavu kavu tu na wakati yeye ni Boss wangu๐ค๐ค๐ค๐ค๐คHance aliniomba ninywe kinywaji changu make tangu aliponimiminia kwenye glass sikuwa nimekionja hata mara moja......chakula kiliiva tukaletewa tukala yani hapo mimi kichwani nawaza Hance anataka tuongee kuhusu nini๐ซข๐ซข tulipomaliza kula si ndo maongezi yakaanza Hance alianza kuniuliza kama nimekipenda chakula nikamwambia yeah nimekipenda ni kitamu sana......kwanini huonekani kuwa na furaha?!...... niko sawa Boss.... i mean Hance I'm okay๐ฉ๐ฉ๐ฉ......okay.... kuna vitu kidogo vya kawaida tu vya kimaisha nilitaka kuvizungumza na wewe na pia ninataka unizoee unione kama mtu wa kawaida kwako thas why nimekuzuia kuanzia leo usiniite Boss...... lol๐๐๐ huyo Hance alivyogi serious ofisi nzima tunamuogopa huwa hataki mazoea ni mtu wa kazi kazi๐๐๐ huo ukaribu anaoutaka kwangu ni upi mimi mwenyewe namuogopa kama ukoma๐๐๐ ilinibidi nimuitikie tu make hata kumkatalia nilishindwa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Yani alichokuwa ananiambia Hance mimi nilikichukulia ni kama panya aende kutafuta urafiki kwa paka๐คฃ baada ya maongezi ya hapa na pale yasiyeoleweka nini msingi wake Boss Hance aliniuliza kama nina boy Friend ๐ณ๐ณ๐ณ mmmhhh mbona boyfriend๐๐๐ nilimjibu nikamwambia sina...... do you have a crush?! Nikamwambia yes I do....... who is your crush?! Lol sikumtajia๐คฃ๐คฃ๐คฃ nilikaa kimya alionyesha wivu sana pale nilipomwambia kuwa nina crush wangu kama mnavyojua crush ni mtu ambaye unakuwa unahisi ni kama upendo na hisia zako vipo kwake.......crush wangu mimi ni Leeminho yule mwigizaji wa Korea na mwingine ambaye nilihisi ni kama moyo wangu unashawishika sana juu yake ni Jordan sikuweza kumpitisha moja kwa moja kuwa kama crush kwangu kwa sababu bado nilikuwa sijamfahamu vizuri........
Hance aliendelea kuniuliza ni mwanaume wa aina gani ambaye ninatamani siku moja nifunge naye ndoa..... nikamwambia yoyote tu yani nilikuwa namjibu majibu ya shot kati sana....... je ulishawahi kutamani kuolewa na mwanaume mwenye asili ya kizungu?!......aliuliza Hance nami nikamjibu yeah kwangu mimi wanaume wote ni sawa awe mweusi au mweupe kwangu ni sawa tu kwa sababu ninaamini wanaume wote ni sawa.....wow I like itโค๏ธaliitikia hivyo Boss Hance kisha akaongezea kinywaji kwenye glas na kuendelea kunywa.......Hance hakuweza kunitamkia wazi kuwa ananihitaji japo maswali yake kwangu yalidhihirisha wazi nia yake kwangu.......
Hance ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mtoto pekee kwa wazazi wake na pia ni CEO wa kampuni kubwa ya kifamilia iliyopo nchini Canada.....Hance ni mkaka serious sana hacheki ovyo siyo mtu wa matani matani muda wote huwa ni mtu na mambo yake hata licha ya hayo pia Hance ni kijana mwenye sura nzuri yenye mvuto wa hali ya juu usiliazi wake umekuwa ukiwatisha wanawake wengi wa pale ofisini wengi wamekuwa wakiogopa kuziweka wazi hisia zao kwa Boss Hance kutokana na usiliazi wake uliosababisha tuanze kumuita mr Serious๐คฃ
Kule ofisini kuna wanawake wengi warembo kutokea nchi mbalimbali sikufikilia kama Boss Hance anaweza kudatishwa na mimi binti wa kibongo uzuri wa mwonekano wake pamoja na utajiri mkubwa aliokuwa nao ndio ulinifanya nisiziwekeze hisia zangu kwake kwani nilijua kabisa hawezi kudatishwa na mimi mwanamke wa kiafrica......usiku mkubwa tuliondoka hotelini pale Hance alinidrop nyumbani tukaagana akaondoka kwenda nyumbani kwake ule mtoko wa mimi na hance niliiuchukulia tu kama mtoko wa Boss na mfanyakazi wake na si vinginevyo......nilipoingia ndani cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumpigia Jordan lakini kwa bahati mbaya simu yake haikuwa hewani.......sikuweza kupata usingizi muda wote nilikuwa najaribu tu kumpigia lakini hata hakupatikana.....ningali bado nahangaika kumuwaza Jordan kwenye simu yangu kuliingia ujumbe wa kunishangaza sana kutoka kwa Hance๐ณ๐น๐น....
Je ni ujumbe gani?!
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni