Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ *SEHEMU YA ISHIRINI*  Swala la Shania iutokumkumbuka Shahid ilikuwa kinamumiza sana shahidi lakini hakukukata tamaa aliendelea kumuhudumia Shania
Gonga94 · Stories

KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ *SEHEMU YA ISHIRINI* Swala la Shania iutokumkumbuka Shahid ilikuwa kinamumiza sana shahidi lakini hakukukata tamaa aliendelea kumuhudumia Shania

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
na mtoto wake na kila siku alikuwa akienda kuwaangalia na Shania akimchukulia kama rafiki

tu

Siku moja jioni Shania na shangazi yake pamoja na Shahid ambae alikuwa amempakata binti yake walikuwa wamekaa nje Shania akasema. Shangazi nimepata mchumba Mama Farida alishituka na Shahid alimkazia.

macho

Unasemaje wewe?

Kuna kaka nimeonana nae kwa hil wiki yote ameserna anataka kumchumbia tufunge ndoa haraka sana. anataka Shahidi alimeza mate huku akijaribu kuzula

hasira

Ni nani huyo mwanaume mjingu ambae ana kutaka ukiwa na mtoto mdogo hivi? Aliongea mama Farida kwa ukali.

Lakini shangazi amesema atamlea huyu mtoto Shahidi alinyanyuka na kumpa Shania mtoto wake na kutaka kuondoka bila kuaga

Baba unaenda wap?

Shangazi acha niondoke.

Hebu ngoja Mama Farida alisimama kisha wakatoka pamoja na Shahid. Punguza hasira mwanangu huyu bado hajui kitu na mimi sitaruhusu huyo mwanaume aje

hapa nyumbani sisi tunakutambua wewe. Shangazi hii lotu haincingli akilini hata kidogo naomba huyo mwanaume aje nataka kumjus.

Sawa ila kuwa na amani.

Sawa shangazi.

Shahidi aliondoka na mama Farida alirudi ndani. Shanta huyo mwanaume kama anataka ndoa na wewe basi naomba uniambie kesho aje hapa.

Sawa shangazi Shahidi aliondoka huku akiwa na mipango yake

kichwani Lazima nifanye kitu siwezi kumpoteza shania kizembe, siwezi kushindwa dakika za mwisho

Baada ya siku mbili yule mwanaume alifika nyumbani kwa mama Farida na kujitambulisha Unaitwa nani na unatokea wapi?

Naitwa Zubery tokea makao mapya

"Nia yako ni ipo kwa huyu binti yangu?

"Ni kutaka kumuowa

Vipi kama nilikwambia ni mke wa mtu?

Kaniambia hana mume

Karma nakwambia hivyo mimi nakwambia hivi, huyu ni mike mtu hivyo acha kumfuatilia Siamini hilo mbona yeye kaserna hana mume?

"Nilichokwambia mimi ndio ukweli

Wakati wariaongea hivyo Shania alikuwa ndani

anambadilisha nguo mtoto wake na Shahid ndio

alikuwa anafika akamkuta Zubery

Wewe ndio mwanaume unataka kumuowa

Shania?

"Ndio

"Naomba tutoke hapa tukaongee.

Wewe ni nani na kwanini unataka kunitoa

hapa?

Kabla Shahid hajajibu mama Farida alijibu. Huyu ndio mwenye majukumu ya kukupa mka. Kivipi?

Kwani kwenye familia ni nani mwenye jukumu

la kutoa ridhaa mtu aclewe

Ni kaka au baba

Basi mfuate.

Zubery aliongozana na Shahid wanapanda kwenye gari na kuanza kuondoka, wakielekea sehemu ambayo Zubery hakujua

Huku ni wapi?

Shahidi hakujibu aliendelea kuendesha garn.

Oya simamisha gari Shahidi alisimamisha

gari kisha akamuangalia huku akiwa kakunja sura yake ni kwamba hakuwa anataka utani. Umetumiwa na nani kufanya hivi?

"Kutumwa kivipi?

Nani kakutumia uje kumuowa Shania?

Hahahaha kwani kutaka kuowa lazima mtu

atumwe? Hayo ni mapenzi yangu kwake.

Imelipwa shilingi ngapi?

Acha kuzingua wewe Alisema Zubery huku

akiwa anataka kufungua mlango ashuku Shahidi alishika bastola akamnyooshea. Broo unataka kufanya nini?

Utasema au nikumalize na kujitupia kichakani?

"Bro hicho kitu ni hatari.

Najua ni hatari..

Utaniambia au nichukue maamuzi yangu.

Usifanye hivyo kaka nasema.

Ongea haraka

Nimetumwa kaka, mes zahir amenituma nije

kumuowa huyu mwanamke ili kutenganisha na

mwanaume wake. Huyo mwanaume wake

unamjua?

Hapana.

Mimi ndio huyo mume wa Shania kaa mbali na mke wangu la sivyo nitakumaliza, nitakuwa bila

huruma hujui nimetoka wapi na yule mwanamke

Nisamehe sirudii tena, haki ya Mungu sirudi

Shuka kwenye gari.

"Sawa Zubery alishuka huku akitetemeka. Ukimuona yule mwanamke kaa nae mbali fits mia moja.

Sawa Sawa

Shahidi aliwasha gari akaondoka.

Siku moja Shahid alimchukua Shania na mtoto

wake wakaenda matembezi. Walifika maeneo ambayo walikutana siku ya kwanza. wakasimama kwenye ule mti ambako Shania.

alikuwa amekaa analia

Mbona tupo hapa.

Huwa napenda kuja hapa sababu ni historia

Shahidi alianza macho akamuona mzee mmoja. akiwa kajikunyata pia alionekana kuwa dhoofu.

Nisubiri hapa nakuja. Shahidi alienda kununua soda na mkate akampelekea yule mzee Shania alianza kuhisi karna lile tukio aliwahi

kuliona lakini hakukumbuka ni wapi.

Kadni siku zilivyokuwa zinaenda ndipo Shahid alizidi kufanya matukio ya kumfanya Shania

akumbuke mambo ya nyuma

Siku moja usiku wa manane Shania aliamka

akawa kajiinamia alijaribu kukumbuka jambo

Mara alitoka chumbani na kumfuata shangazi

yoke na kumuamaha

Shangazi, shangazi amika

Mama Farida aliamka akakaa.

Shania kuna nini?

Nataka kukuuliza kitu

Uliza

Yule mwanaume shahidi ni nani?

Mama Farida alimuangalia kisha akaamua

kusema ukwell

Ni mwanaume ukiezaa nae yule mtoto,

mwanaume ulikuwa unaishi nae

Niambie kila kitu tafadhall.

Mama Farida alianza kumsimulia kila kitu

kuhusu Shahid.

Ni mwanaume ambae anakupenda sana

ametengwa na familia yake kwasababu ya

kung'ang'ania wewe Shania. Shahidi anakuhitaj

sana

Shania alijikuta analia na kumuonea huruma

Shahid

Shangazi nataka kwenda kwa Shahid.

Sasa hivi ni usiku sasa subiri kukuche, wewe

nenda Kalale

"Sawa

Shania alirudi chumbani kwake lakini hakuweza

kulala alitamani kukuche aondoke

Ilipofika magra ya saa kumi na moja alimfuata

shangazi yake

Shangazi tupeleke.

Mapema yote hi

Kwangu nimechekewa sana shangazi nataka

kuwa karibu na Shahid nataka kumfanya awe na furaha, liham anamuhitaji baba yake Mama Farida alijiandaa wakatoka barabarani na

kuchukua bajaji na kwenda mpaka nyumbani

kwa shahidi

Muda waliofika walimkuta shahidi bado Kalala la Tessy aliwapikea kwa furaha alimchukua

Ilham

Shahidi yuko wapi?

Chumbani kwake. Hapo juu mlango wa pili

Shania alipanda mpaka juu na kufungua taratibu

miango wa chumba cha shahid kisha akaingia ndani. Shahidi alikuwa bado Kalala, alikaa

pembeni yake akawa anamuangalia usonjinsi

alivyokuwa Kalala kwa amani.

Nisamehe Shahid nimerudi, nipo hapa kwaaji

yako

Shahidi alishituka kutoka usingizini alishangaa

kumuona Shania pembeni yake

Shania

Shahidi nisamehe, nakupenda.

Shahidi alijikuta anacheka kama chizi kisha

akamkumbatia Shania kwa furaha.

Nakupenda Shania, nakupenda sana

Nimekuja tumlee Ilham wetu nataka tumalizie pale tulipoishia, nipokee kwenye maisha yako. Karibu sana mpenzi wangu

Mtoto wangu yuko wapi?

Yupo sebleni

Nataka kumuona.

Walishuka seblent Shahid allmchukua mtoto

wake siku hiyo ilikuwa ni siku ya furaha mno

Kuanzia hapo Shahid alivuka mshindi alifurahia sana maisha yake na familia yake mpya. Wazazi wa Shahid waliposikia Shania kapona

kabisa walifunga safari wakaenda kwa shahidi

tena siku ambayo Shahid hakuwepo lakini

Shania aliwapokea vizuri sana tena kwa

heshima akawa pazia mjukuu wao wampakate

Muonekania na mapokezi ya Shania yaliwavutia.

sana wazazi wa Shahid

Mke wangu tulikuwa tunahukumu tusichokijua

huyu ndio mke sasa kwa shahidi

"Nimeona mume wangu yani mpaka naona albu

tumekosa sana

Ndin heyo lakoni mzazi hakisei kwa mtoto hatuwezi kuomba msamaha. Walikaa kwa shahidi mpaka aliporudi walikaa na

kumkubalia kumuoiwa Shania tena wakitaka

ndoa ya haraka

Shahidi alifurahi na kuwashukuru wazazi wake.

Tumeenda Shania tunamkaribisha kwenye

familia

Asante mama. Shahidi akimkumbatia mama

yake. Wakati wamekumbatiana mama Shahid

alimnongoneza

Nisamehe mwanangu najua unajua kila kitu

nilichokuwa nimepanga

Nilishasamehe mama acha maisha mengine

yoendelee.

Baada ya miezi miwili Shania

Shahid

walifungwa ndoa na kuishi kama mume na mke

rasmi na kuendeleza maisha ya upendo na

furaha huku wazazi Shahid walimchukua

Shania kama mtoto wao wa kumzaa

walimshirikisha kwenye kila jambo la familla

MWISHO

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ *SEHEMU YA ISHIRINI* Swala la Shania iutokumkumbuka Shahid ilikuwa kinamumiza sana shahidi lakini hakukukata tamaa aliendelea kumuhudumia Shania

na mtoto wake na kila siku alikuwa akienda kuwaangalia na Shania akimchukulia kama rafiki

tu

Siku moja jioni Shania na shangazi yake pamoja na Shahid ambae alikuwa amempakata binti yake walikuwa wamekaa nje Shania akasema. Shangazi nimepata mchumba Mama Farida alishituka na Shahid alimkazia.

macho

Unasemaje wewe?

Kuna kaka nimeonana nae kwa hil wiki yote ameserna anataka kumchumbia tufunge ndoa haraka sana. anataka Shahidi alimeza mate huku akijaribu kuzula

hasira

Ni nani huyo mwanaume mjingu ambae ana kutaka ukiwa na mtoto mdogo hivi? Aliongea mama Farida kwa ukali.

Lakini shangazi amesema atamlea huyu mtoto Shahidi alinyanyuka na kumpa Shania mtoto wake na kutaka kuondoka bila kuaga

Baba unaenda...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kichaa-na-mimba-ya-boss-sehemu-ya-ishirini-swala-la-shania-iutokumkumbuka-shahid-ilikuwa-kinamumiza-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kichaa-na-mimba-ya-boss-sehemu-ya-ishirini-swala-la-shania-iutokumkumbuka-shahid-ilikuwa-kinamumiza-
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

499
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

227
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

224
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

220
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

136
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.05K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.35K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… “ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest